Yohana 14:06 - "Mimi ni Njia, Kweli na Uzima,,Mtu haji kwa Baba ila kwa njia kupitia kwangu.
Matendo 4.12 -Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hakuna jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo
Yohana 14,13-14 - Nanyi mkiomba lolote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya mwana. Mkioomba neno lolote kwa Jina langu nitalifanya
0 comments:
Post a Comment