skip to main |
skip to sidebar
12:12 AM
Kagine Nicholaus Dawson
No comments
Lakini katika mambo hayo yote tunashinda , na zaidi ya kusinda , kwa yeye aliyetupenda. Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima,wala malaika, wala wenye mamlaka,wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo, wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu. Rum 8:37-39, yoh 16:33
Posted in: Today's Verse
Email This
BlogThis!
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment