October 26, 2011

Cinnamon and Honey Whoever thought?

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; ...

October 25, 2011

The Christian Worldview

Mobile JesusProduct/ServiceYou and Mobile JesusSee AllRefugees United Org.Are you a refugee searching for missing family and friends? Use our online search tool now!Like · Geofrey George Rutatinisibwa likes this.Join Gmailgoogle.comBuilt-in chat, Text, Voice and Video. Free Email by Google. Sign up now! The Overview The Christian Worldview This is the true story as it was recorded at God’s instruction by early man and carefully passed down through the centuries. In the beginning God created the heavens and the earth. He also created the plants and animals, and finally he created man. At that...

October 24, 2011

NDOA MSETO

Jane Lawi SijaonaNDOA MSETO Biblia inatufundisha kuhusu maisha ya ndoa kwa ukamilifu ila tunaishi katika dunia iliyoanguka na kugubikwa na dhambi. I. UKWELI: BIBLIA INAFUNDISHA NINI KUHUSU NDOA MSETO 1. Mkristo asioe/kuolewa na mtu asiyeamini – 1Wakorintho 6:14-18. Agizo hili linawagusa wakristo ambao si wanandoa. Usikubali kuoa/kuolewa na mtu ambaye si mkristo. MUNGU anaputuambia tusifanyed jambo fulani huwa ana makusudi maalum na sisi. Mpango wa MUNGU katikaqq ndoa ni kutupatia mwenza (Mwanzo 2:18) ambaye tunafanana naye n ambaye tutakuwa mamoja kimwili, kihisia na kiroho. Watu wengi wanapata matatizo kwa sababu wamelipuuzia agizo hili la MUNGU. 2. Mkristo asimuache mume/mke asiyeamini – 1Wakorintho 7:12-14. Agizo hili linawagusa wakristo...

October 1, 2011

MPANGO NA AGIZO LA MUNGU KWA MKE

MPANGO NA AGIZO LA MUNGU KWA MKEby Jane Lawi Sijaona on Saturday, October 1, 2011 at 12:48amMke ni Msaidizi wa mume kama yalivyo maagizo ya MUNGU. Mwanzo 2:18 BIBLIA inatoa agizo kwa mke kuwa MTII kwa mume wake. Ninyi wake watiini waume zenu kama kumtii BWANA YESU.  Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama KRISTO naye ni kichwa cha Kanisa, naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo KRISTO, vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Waefeso 5:22-24. Enyi wake watiini waume zenu kama ipendezavyo katika BWANA. Wakolosai 3:18 Kadhalika ninyi wake watiini...

Page 1 of 1112345Next